- 625 viewsKinara wa ODM, Oburu Oginga, amesisitiza kuwa yuko imara kuongoza chama hicho akisema umri wake sio kikwazo. Akizungumza Kaunti ya Kisumu, Oburu amesema wakosoaji wake ndani ya mrengo wa Linda Mwananchi lazima waheshimu sheria na kanuni za ODM.