OCS wa Central Police ma wengine waandikisha taarifa

  • | Citizen TV
    2,678 views

    Maafisa wa polisi wa kituo cha polisi cha Central jijini Nairobi wameadikisha taarifa kwa mamlaka ya kuangazia utendakazi wa polisi - IPOA. Maafisa hao wamejitenga na mauaji ya mwanablogu Albert Ojwang ndani ya kituo cha polisi cha central. Katika taarifa hiyo iliyoandikwa na maafisa hao na ambayo tulipata fursa ya tuangalia, maafisa hao wanasema wakati Albert alipofikishwa kituoni, hali yake ilikuwa mbaya na ilichukua juhudi zao kujaribu kuokoa maisha yake.