- 2,187 viewsDuration: 1:52Viongozi wa chama cha ODM wametoa tetesi kuhusu zoezi la kusajili makurutu wa jeshi wakidai zoezi hilo mara kwa mara limepuuza vijana kutoka nairobi.. Viongozi hao wanasema kaunti ya nairobi imekuwa ikupuuzwa na wakati umefika wa vijana wa kaunti ya nairobi kupewa kipaumbele.