- 7,668 viewsDuration: 3:05Mwenyekiti wa chama cha ODM Gladys Wanga na naibu kinara wa chama hicho Simba Arati sasa wanataka kukamatwa kwa gavana wa Nyeri Mutahi Kahiga kufuatia matamshi yake kuhusu kifo cha waziri mkuu wa zamani hayati Raila Odinga. Viongozi hao wa ODM wamesema matamshi ya gavana huyo ni ya uchochezi, huku pia familia ya marehemu Raila ikiyataja kuwa ya aibu