24 Sep 2025 1:31 pm | Citizen TV 464 views Duration: 1:50 Chama cha ODM kimeanza kuweka mikakati ya kumnadi mgombeaji wake kwenye uchaguzi mdogo wa tarehe 27 mwezi novemba katika wadi ya Purko, kaunti ya Kajiado.