Ofisi ya gavana wa Taita Taveta yatoa zawadi kwa walemavu

  • | Citizen TV
    347 views

    Walemavu zaidi ya 2,000 kutoka kaunti ya Taita Taveta walipewa zawadi za krismasi vikiwemo vyakula na gavana wa kaunti hiyo Andrew Mwadime.