Ofisi ya Mudavadi yaomba pesa zaidi

  • | KBC Video
    73 views

    Mkuu wa wafanyikazi katika afisi hiyo Joseph Busiega alipofika mbele ya kamati ya bunge la kitaifa kuhusu utawala alisema mgao wa sasa wa bajeti kwa ofisi hiyo hautoshi kufanikisha majukumu yake,hasa ushirikiano na mataifa ya kigeni.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive