- 147 views- - - - - VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
ONGEZEKO LA JOTO NA ATHARI ZAKE KIAFYA
- - Lewa Marathon 2025 ››
- 29 Jun 2025 - Iran has expanded access to its airspace for international overflights following a ceasefire with Israel, though flight restrictions remain in place across much of the country, an official said Saturday.
- 29 Jun 2025 - Rwanda and the Democratic Republic of Congo have signed a peace agreement Washington to end fighting that has killed thousands, with the two countries pledging to pull back support for guerrillas -- and President Donald Trump boasting of securing…
- 29 Jun 2025 - A police officer, Dennis Munyao, popularly known as Afande Denno, has broken his silence after being taken in for questioning following his participation in the Wednesday, June 25, 2025, protests in Nairobi. Speaking to a local TV station on Saturday…
- 29 Jun 2025 - South Africa's Democratic Alliance (DA), a member of the ruling unity government, said Saturday that it was withdrawing from a "national dialogue" grouping aimed at tackling the problems dogging the country.
- 29 Jun 2025 - Police in Kisii have launched an investigation aimed at cracking down on fraudsters conning M-Pesa shop owners in Kisii Town, Keumbu, and surrounding areas.
- 29 Jun 2025 - A year after President William Ruto and First Lady Rachel Ruto hosted popular televangelist Benny Hinn, the man of the cloth has now headed to Uganda. In a statement on Saturday, June 28, 2025, Uganda’s President Yoweri Kaguta Museveni confirmed Benny…
- 29 Jun 2025 - Religious leaders from across Kenya have strongly condemned the killing and injuring of Gen Z protesters during Wednesday's protests.
- 29 Jun 2025 - A popular TikToker who was abducted in broad daylight on Tuesday in Mombasa's central business district has revealed the horrors he endured at the hands of his abductors for three days.
- 29 Jun 2025 - History shows Gen Z demos will continue to push for real change
- 29 Jun 2025 - Gen Z protests: Let's deflate the national anger