Skip to main content
Skip to main content

Ongezeko la Magonjwa ya zoonotic, Afrika

  • | BBC Swahili
    5,327 views
    Duration: 2:29
    Afrika imeathirika zaidi na ongezeko la asilimia 63 katika milipuko ya magonjwa yanayotokana na wanyama katika muongo uliopita, kwa mujibu wa Shirika la Afya duniani(WHO). Magonjwa ya zoonotic pia yanachangia takriban moja ya tatu ya kila milipuko wa magonjwa ya kuambukiza yaliyorekodiwa kwenye bara hili katika karne hii. Tishio linaloongezeka limesukuma Africa CDC kuzindua mpango wa miaka minne mwezi Julai wa kuzuia na kudhibiti uenezaji wa magonjwa ya zoonotic kwenye bara. @saraphinarobi na taarifa zidi - - #bbcswahili #zonoticdisease #cdcafrica #afya #magonjwa Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw