Ongezeko la mgogoro Kati ya wanyamapori na binadamu lachangia kudidimia kwa idadi ya wanyamapori

  • | Citizen TV
    711 views

    Ongezeko la mgogoro Kati ya wanyamapori na binadamu pamoja na uwindaji haramu umetajwa kama changamoto kuu zinazochangia kudidimia kwa idadi ya wanyamapori nchini. Wanaharakati wa uhifadhi wa wanyamapori wameelezea wasiwasi kuhusu kuenea kwa biashara ya nyama ya wanyama wa mwituni wakitaka hatua za haraka zichukuliwe.