Operesheni ya Israel huko Gaza yaendelea

  • | VOA Swahili
    348 views
    Operesheni inayoendelea ya Israel huko Gaza iliongezeka mapema Jumatano (Novemba 15), wakati wanajeshi wa Israeli waliwaua wanamgambo kadhaa wa Hamas mwanzoni mwa uvamizi kwenye hospitali ya Al Shifa, ambapo maelfu ya raia wa Palestina wamekwama katika hospitali hiyo tangu kuanza kwa mapigano .