Operesheni ya kuhakikisha sheria za sekta ya mifugo zinafuatwa kuanza

  • | Citizen TV
    72 views

    Serikali imetangaza siku 100 za operesheni ya kuhakikisha utekelezwaji wa sheria na kanuni za sekta ya mifugo kote nchini.