Wakulima wa pamba Busia wanufaika na mbegu

  • | Citizen TV
    103 views

    Wakulima wa pamba kaunti ya Busia wamenufaika na mbegu tani 17 kutoka kwa ufadhili wa serikali kuu kupitia kwa wizara ya viwanda, biashara na uekezaji.