Papa Francis atuma ujumbe wa sauti kwa mara ya kwanza tangu alazwe
Papa Francis ametuma ujumbe wa sauti akiwashukuru watu kote ulimwenguni kwa maombi yao baada ya kulazwa hospitalini tarehe 14 Februari.
Ni mara ya kwanza kwa Papa Francis mwenye umri wa miaka 88 kusikika kwa umma tangu aingie hospitali kutibiwa na kugundulika kuwa na nimonia katika mapafu yote mawili.
Ujumbe mfupi wa mistari miwili, uliorekodiwa mapema siku hiyo kutoka Hospitali ya Gemelli ya Roma, ulichezwa wakati wa ibada ya usiku ya kumwombea papa katika uwanja wa St Peter's Square huko Vatikani.
Mapema wiki hii, Vatican ilitangaza kuwa Papa anaendelea vizuri baada ya kukumbwa na hali ya kushindwa kupumua mara mbili na alikuwa akitumia “mashine ya kupumua,”.
#bbcswahili #PapaFrancis #vatcan
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
4 Aug 2025
- The warning comes amid complaints from Kenyans.
4 Aug 2025
- Harambee Stars secured their first-ever victory at CHAN on Sunday.
4 Aug 2025
- The pair was charged a day after their arrest.
5 Aug 2025
- Enquiries revealed that two plots were used as collateral to acquire a loan on which the borrowers defaulted.
5 Aug 2025
- Education Cabinet Secretary Julius Ogamba finds himself increasingly sidelined by his own Principal Secretaries.
5 Aug 2025
- Why US ballooning public debt is a key concern for Kenya
5 Aug 2025
- Nairobi Expressway contractor to shoulder Sh6.9b tax bill
5 Aug 2025
- Court spells the end of Isiolo's 60-year-old bar, a relic of 'choma'
5 Aug 2025
- Kebs deal with Japanese firm for car inspections under scrutiny
5 Aug 2025
- Why civil society wants Hustler Fund scrapped
5 Aug 2025
- Will Kenya Kwanza's scorecard be enough to win Ruto a second term?
5 Aug 2025
- Kenyan athletes focused on Tokyo Worlds despite Chan fever
5 Aug 2025
- Varsities VCs protest course fee cuts as debts soar to Sh85 billion