Skip to main content
Skip to main content

Papa Leo XIV aongoza hafla ya kutawazwa rasmi kwa Carlo Acutis na Pier Giorgio Frassati

  • | KBC Video
    300 views
    Duration: 3:18
    Historia iliandikwa katika madaftari ya kumbukumbu huko Vatican nchini Italia mnamo Jumapili wakati Papa Leo wa kumi na nne alipoongoza hafla ya kipekee ya kuwatangaza watakatifu wawili miongoni mwao mtakatifu wa kwanza wa milenia wa kanisa Katoliki. Maelfu ya makasisi pamoja na waumini wa kanisa hilo walikusanyika kwenye uwanja wa St. Peter’s Square kushuhudia kutambulishwa rasmi kwa Carlo Acutis na Pier Giorgio Frassati kama watakatifu wa kanisa Katoliki. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive