Patrick Ososi, Jackson Kuria kuendelea kuzuilia hadi Agosti 7

  • | K24 Video
    95 views

    kiongozi wa kundi la FBI linalojihusisha na kupambana na ukatili kati ya maafisa wa polisi Patrick Osoi pamoja na aliyekuwa askari wa magereza Jackson Kuria almaarufu cop Shakur, wataendelea kuzuiliwa hadi Agosti 7, mahakama ya kahawa itakapotoa uamuzi kuhusu ombi la DCI na ODPP la kuwazuilia wakihusishwa na kundi la fighting brutality and impunity (FBI ), uchunguzi ukiendelea.

    fight