Skip to main content
Skip to main content

Paul Kigame na KNCHR waenda mahakamani kupinga sheria mpya ya uhalifu wa mitandaoni

  • | Citizen TV
    6,546 views
    Duration: 3:20
    Tume ya kitaifa ya kutetea haki za kibinaadam na mwanamuziki Paul Kigame wamewasilisha kesi mahakamani kupinga utekelezaji wa sheria ya uhalifu wa mitandao iliyotiwa saini na Rais William Ruto juma lililopita. Haya yamejiri mahakamani huku viongozi wa upinzani na wanaharakati wakikosoa sheria hizo wanazosema ni ya kuwanyamazisha wakosoaji wa serikali Jaji Mkuu mstaafu David Maraga akiongoza ukosoaji wake akisema hatua hii ni kejeli kwa katiba ya sasa