18 Feb 2026 1:59 pm | Citizen TV 278 views Duration: 1:20 Rais mpya wa shirikisho la soka afrika mashariki na kati, CECAFA Paulos Weldehaimanot ameanza rasmi majukumu yake katika makao makuu ya CECAFA hapa Nairobi.