Peter Macharia aliuawa kwenye maandamano ya saba saba

  • | Citizen TV
    983 views

    Familia ya Peter Macharia, kijana aliyeuawa kwa kupigwa risasi katika kaunti ya Kirinyaga wakati wa maandamano ya kumbukumbu za sabasaba mwaka huu sasa inaitaka serikali kuhakikisha kuwa mauaji ya kiholela ya vijana yamekomeshwa, wakisema kuwa fidia pekee haitoshi.