Skip to main content
Skip to main content

Picha ya Messi na Lamie miaka 19 iliyopita

  • | BBC Swahili
    93,663 views
    Duration: 1:41
    Picha iliyopigwa miaka 19 iliyopita na kuonekana ya kawaida wakati huo, leo imegeuka kuwa moja ya picha zinazovutia dunia ya soka. Picha hiyo ilimuonesha Lionel Messi akiwa amembeba mtoto mchanga ambaye sasa ni nyota wa Hispania, Lamine Yamal. Na wawili hao watakutana uso kwa uso katika hatua kubwa zaidi ya soka duniani, fainali ya Kombe la Dunia 2026 Mwandishi wa BBC @ahmedbahajj anaiangazia simulizi hii - - #bbcswahili #soka #kombeladunia2026 Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw