Pigano la utapiamlo Elgeyo Marakwet

  • | NTV Video
    61 views

    Kaunti ya Elgeyo Marakwet imeshirikiana na World Vision kwa programu ya muda wa miaka 10, ya kupunguza vifo vya watoto wachanga baada ya ripoti kuonyesha kuwa, asilimia 22 ya watoto wanakabiliwa na udumavu huku asilimia 13.9 ya wengine wakikumbwa na utapiamlo mkali.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya