Pilkapilka za CHAN: Usalama uimarishwa Kasarani na nje

  • | Citizen TV
    2,180 views

    Usalama uliimarishwa katika uwanja wa Kasarani wakati wa michuano ya fainali baina ya Morocco na Madagascar huku maafisa wa polisi wakiimarisha doria kuhakikisha kuwa mashabiki walipata fursa ya kushabikia timu zao bila bughdha