Pirates wafuzu kwa mara ya kwanza Kenya cup

  • | Citizen TV
    320 views

    Timu ya raga ya South Coast Pirates iliweka rekodi ya kufuzu kwa mara ya kwanza kwenye mchuano wa kitaifa wa raga nchini kenya cup baada ya kuilaza Daystar Falcon kwa alama 30-15. Sasa watachuana na Impala RFC kwenye fainali.