PNU kuondoka Azimio

  • | Citizen TV
    2,500 views

    Chama cha PNU kimekuwa cha punde zaidi kutangaza azma yake ya kutaka kujiondoa kwenye muungano wa Azimio la umoja one kenya. Hii ni baada ya baadhi ya wanasiasa wa ODM kujiunga na serikali baada ya kuteuliwa mawaziri.