Skip to main content
Skip to main content

Police Bullets wakaribia taji baada ya ushindi wa 3-0 dhidi ya Starlets

  • | Citizen TV
    140 views
    Duration: 59s
    Mabingwa watetezi kenya police bullets walikaribia kuhifadhi taji lao walipowatandika wapinzani wao wa karibu ulinzi starlets 3-0 katika mechi muhimu ya ligi kuu ya wanawake kwenye uwanja wa ulinzi sports.