- 160 viewsDuration: 1:04Mabingwa watetezi Police fc sasa wako pointi 11 nyuma ya viongozi Gor Mahia fc baada ya sare ya kukatisha tamaa ya 1-1 dhidi ya Bidco united katika mechi ya pekee ya ligi iliyochezwa Jumatatu alasiri. Polisi wamekusanya pointi saba pekee kati ya 18 zinazowezekana kutoka kwa mechi sita za mwaka wa 2026.