- 73 viewsDuration: 1:14Police FC imedhibiti nafasi yao ya tatu kwenye jedwali ya Ligi Kuu ya kandanda baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Murang'a Seal FC katika uwanja wa Police Sacco. Kipindi cha kwanza kiliisha sare ya bao 1-1 kabla ya Police FC kupata bao la ushindi katika dakika za lala salama kipindi cha pili.