Polisi 2 walio patikana na hatia ya mauaji ya Dennis Lusava kufungwa miaka 35 kila mmoja

  • | NTV Video
    558 views

    Maafisa wawili wa polisi walio patikana na hatia ya mauaji ya Dennis Lusava katika kituo cha polisi cha Mbururu eneo bunge la Likuyani, Kaunti ya Kakamega na kisha kuutupa mwili wake katika Mto Nzoia mwaka 2020, wamehukumiwa kifungo cha miaka 35 kila mmoja.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya