Polisi anayeshukiwa kumuua Rex akanusha yote

  • | Citizen TV
    9,803 views

    Isaiah Murangiri Ndumba, afisa wa polisi ambaye ni mshukiwa mkuu katika mauaji ya Rez Masai aliyepigwa risasi na kuwawa wakati wa maandamano ya mwaka uliopita, amekana kuwepo jijini Nairobi wakati wa maandamano hayo