- 2,583 viewsDuration: 51sPicha za kamera iliyovaliwa mwilini naafisa mmoja wa polisi zinaonyesha jinsi polisi huyo alivyomuokoa mtu mmoja muda mchache baada ya gari lake kushika moto huko Southlake, Texas. Kwa mujibu wa polisi, Koplo Swisher alikuwa akifanya ukaguzi wa kawaida wa magari barabarani alipoliona gari moja likitoa moshi mzito. Mara moja alimuelekeza dereva kuliegesha pembeni ya barabara. Dakika chache baadaye, moto ulianza kuzuka kutoka chini ya gari hilo huku dereva akiwa bado ndani. #bbcswahili #texas #ajaliyagari Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw