Polisi auwawa siaya huku mwingine akijeruhiwa walipokuwa wakisafirisha mitihani ya KCSE

  • | Citizen TV
    4,362 views

    Afisa mmoja wa polisi ameuawa huku mwengine akijeruhiwa baada ya kushambuliwa walipokuwa wakisafirisha mitihani ya kitaifa ya KCSE kaunti ya Siaya