21 Apr 2026 1:08 pm | Citizen TV 44,160 views Duration: 3:55 Polisi jijini Nairobi wamewakamata waandamanaji wannne waiokuwa katikati ya jiji wakipinga ongezeko la bei ya mafuta. mwanahabari wetu gatete njoroge amekuwa akifuatialia maandamano hayo yaliyopangwa leo.