Polisi Kajiado wachunguza kifo tatanishi cha mwanamume aliyejitia kitanzi

  • | Citizen TV
    2,084 views

    Maafisa wa polisi eneo la Kitengela kaunti ya Kajiado wanachunguza kisa ambapo mwanamume wa miaka 48 amejitoa uhai kwa kujiteketeza ndani ya nyumba yake katika mtaa wa Chuna. Vincent Kisangi anadaiwa kumuamuru mfanyikazi wake aende zake baada ya kurejea nyumbani alikoondoka kwa siku kadhaa bila mkewe