Polisi katika eneo la Kabete wachunguza mauaji ya mtu mmoja baada ya maiti yake kupatikana imetupwa

  • | Citizen TV
    555 views

    Polisi katika eneo la Kabete kaunti ya Kiambu wanachunguza mauaji ya mtu mmoja baada ya maiti yake kupatikana imetupwa katika mto Rukubi. Familia ya mtu huyo walikuwa wamemtafuta kwa siku nne.