Polisi Kirinyaga wachunguza mauaji ya mwanamume mjini Kerugoya

  • | KBC Video
    1 views

    Wakaazi wa Mji wa Kerugoya kaunti ya Kirinyaga wametaka uchunguzi ufanywe kuhusiana na kifo cha kutatanisha cha mwanamume wa umri wa makamo ambaye mwili wake uligunduliwa ukiwa umetupwa mtoni katika eneo hilo. Mwili wa marehemu aliyetambulika kwa jina la Njogu ambaye ni mhudumu wa kuosha magari uligunduliwa na wanafunzi siku ya Jumatatu asubuhi na kisha wakawaarifu majirani.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive