Polisi Kirinyaga wachunguza wizi Kanisani

  • | Citizen TV
    876 views

    Polisi kaunti ya Kirinyaga wameanzisha uchunguzi kuwakamata wezi waliovamia kanisa moja na kula sakramenti zote kisha wakaiba vifaa vya muziki.