Skip to main content
Skip to main content

Polisi Mombasa wanasaka genge la vijana waliowajeruhi watu wawili katikati mwa jiji

  • | Citizen TV
    20,584 views
    Duration: 3:05
    Polisi mjini Mombasa wanalisaka genge la vijana waliowajeruhi watu wawili akiwemo mlinzi mmoja katika eneo la Biashara Street katikati mwa jiji. Kulingana na wanaohudumu eneo hilo, genge lilijihami kwa mapanga na silaha butu likiwavamia kila waliokutana nao na kutoweka na simu mbili za mmoja wa walinzi.