- 12,526 viewsDuration: 3:05Polisi Nairobi wanasema bado wanachunguza kifo tata cha mwanamke mmoja katika jumba moja alikokuwa akifanya kazi mtaani Kilimani. Zaituni Kavaya aliaga baada ya kuanguka kutoka kwenye jumba moja alikokuwa akifanya kazi, ambako leo jamaa zake na chama cha wafanyakazi wa nyumbani wameandamana kudai haki. Hata hivyo kama Ode Francis anavyoarifu, kanda ya kipekee ya video imeonyesha yaliyojiri kabla ya kifo cha mama huyu