Skip to main content
Skip to main content

Polisi Uganda wakanusha kuwazuilia wanaharakati wa Kenya Njagi na Oyoo

  • | Citizen TV
    1,093 views
    Duration: 3:13
    Idara ya polisi nchini Uganda imekana kuwazuilia wanaharakati wa Kenya Bob Njagi na Nicholas Oyoo. Msemaji wa polisi Uganda, Kituuma Rusoke amesema hana taarifa kuhusu kutoweka kwa wawili hao. Haya yamejiri huku mawakili hapa nchini wakielekea mahakamani wakitaka idara ya jeshi, ile ya ujasusi, inspekta jenerali wa polisi na mwanasheria mkuu wa Uganda kuwafikisha wawili hao mahakamani. Familia za waathiriwa zimeendelea kushinikiza serikali kuingilia kati