- 4,650 viewsDuration: 3:29Maafisa wa polisi wa Kenya waliohusika na kutuliza ghasia nchini Haiti wametambuliwa kwa kujitolea na utumishi wao wa kipekee. Katika hafla iliyohudhuriwa na Naibu Waziri wa masuala ya kigeni wa Marekani, Christopher Landau, maafisa hao wamesifiwa kwa mchango wao katika kurejesha utulivu nchini Haiti. Landau amesema serikali ya Haiti ilikuwa ukingoni mwa kusambaratika kutokana na ongezeko la vurugu za magenge, na polisi wa Kenya waliokoa jahazi