Skip to main content
Skip to main content

Polisi waanza msako baada ya walinzi wawili kuuawa katika uvamizi wa shule ya upili ya Kabete

  • | Citizen TV
    13,501 views
    Duration: 2:42
    Maaafisa wa polisi katika kituo cha Kabete hapa Nairobi wameanzisha uchunguzi kuwasaka wahalifu waliovamia shule ya upili ya Kabete na kuharibu mali katika shule hiyo na kuwaua walinzi wawili. Washukiwa hao walionaswa kwenye kanda za CCTV wanadaiwa kuwa wanafunzi wa kidato cha nne katika shule hiyo ambao walikuwa wamefukuzwa shule kwa muda