Skip to main content
Skip to main content

Polisi waanza msako mkali kwa wezi wa wezi wa mifugo Isiolo, Meru, Samburu na Laikipia

  • | Citizen TV
    3,873 views
    Duration: 2:33
    Idara ya polisi imeanzisha msako mkali wa kukabiliana na wezi wa mifugo katika kaunti za Isiolo, Meru, Samburu na Laikipia. Hayo yakijiri naibu wa rais Kithure Kindiki ameamrisha kuwa majangili hao wakabilwe na kumalizwa kwa muda wa wiki mbili.