Polisi wakabiliana na wakazi katika mtaa wa London, Nakuru

  • | Citizen TV
    1,897 views

    Makabiliano makali yameshuhudiwa katika mtaa wa London eneobunge la Nakuru West kati ya maafisa wa usalama na wakaazi wa eneo hilo. Wakaazi hao wakiwalaumu maafisa wa usalama kwa kumpiga risasi Duncan Nderitu jumatatu asubuhi.