Polisi waliowaua waandamanaji wanaandamwa

  • | Citizen TV
    3,396 views

    Mamlaka ya kutathmini utendakazi wa polisi IPOA, inasema imewalishisha kesi kwa mkurugenzi wa mashtaka ya umma dhidi ya maafisa wanne wa usalama wanaotuhumiwa kuwauwa waandamanaji.