- 1,298 viewsDuration: 56sMaelfu ya wafuasi wa chama cha 'Mende' Cockroach Janta Party (CJP), harakati za maandamano zinazoongozwa na vijana, waliingia mitaani huko Delhi wakikaidi marufuku ya polisi ya kufanya maandamano kuelekea bungeni na kudai kujiuzulu kwa waziri wa elimu wa India. Mwandishi wa BBC @beldeen__waliaula na taarifa zaidi - - #bbcswahili #indians #genz #cockroach Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw