Polisi wameendelea na uchunguzi wa watoto kupotea

  • | Citizen TV
    1,129 views

    Kufuatia kukamatwa kwa watu 13 raia wa Uganda kwa tuhuma za kupotea kwa katika eneo la Karas, kaunti ya Pokot magharibi, kamishna wa kaunti hiyo, Abulahi Khalif, amesema serikali imeanza kuwapiga msasa upya raia wote wa kigeni kaunti hiyo.