Polisi wamtafuta mwenzao Kanyonyoo Kitui kwa madai ya mauaji ya wanawake Wawili

  • | Citizen TV
    1,407 views

    Maafisa wa Polisi eneo la Kanyonyoo ,yatta kaunti ya Kitui wanamtafuta mwenzao aliyetoweka baada ya kudaiwa kuwauwa wanawake wawili kwa kuwapiga risasi.