Skip to main content
Skip to main content

Polisi wanachunguza kisa cha mwanafunzi kufa maji shuleni Syokimau Blessed Assurance Academy

  • | Citizen TV
    1,805 views
    Duration: 1:27
    Familia moja huko Syokimau kaunti ya Machakos inaulaumu usimamizi wa shule ya syokimau blessed assurance academy baada ya mtoto wao wa umri wa miaka 11 kufa maji akiwa kwenye jaribio la kuogelea shuleni humo.