Polisi wanafukua mwili wa Jeff Mwathi uliozikwa Njoro, Nakuru

  • | Citizen TV
    5,078 views

    Maafisa wa kuchunguza mauaji wanafukua mwili wa Jeff Mwathi ili kutanzua kitendawili kuhusu kifo chake. Hii ni baada ya polisi kufanya uchunguzi wa msimbojeni na sumu na kuzuru nyumba ya mwanasanturi dj fatxo. Mwathi alikuwa alizikwa nyumbani kwao eneo la likia ,njoro, kaunti ya Nakuru.