- 3,267 viewsDuration: 3:07Polisi eneo la Tigoni huko Limuru kaunti ya Kiambu wanamzulia mshukiwa mmoja anayeaminika kuwabaka zaidi ya wanawake kumi ambao tayari wameandikisha taarifa. Jamaa huyo anadaiwa kutumia mitandao ya kijamii kushawishi wasichana kukutana naye kisha kuwatishia maisha, kuwapora na kuwadhulumu kingono.